Mwenyekiti-n1
Makamu-Mwenyekiti-n1
Meneja-Mkuu3

Habari na Matukio

Dira

Kuwa Chama Kikuu cha ushirika bora chenye kukidhi matarajio (mahitaji) ya kiuchumi na kijamii kwa wanachama wake.

Dhima

Kutoa huduma inayoaminika ya Ushirika ambayo inahakikisha kuongezeka kwa ustawi wa kiuchumi kwa wanachama wake, wakati huo huo ikihakikisha uwepo wa imani na matumaini kutoka kwa wanachama, na wakulima wote kwa ujumla wake.

Meneja Mkuu

katibu2

Florence, J. Osano

CCU Community

Tunayo Furaha kuwakaribisha wanachama wa CCU kwenye jumuiya yetu, CCU Community. Hapo tutaweza kuongea, kushauriana, kuelekezana na hasa kujurishana kuhusu maendeleo, changamoto na jinsi yakuwezesha jumuiya yetu kusonga mbele.

Hapa wanachama wataweza kuwasilishwa au kuwasilisha changamoto zao, matarajio yao na hasa kuelezea mikakati waliyonayo katika kusogeza lengo kuu la chama chetu.

Jiunge  na jumuiya kubwa ya CCU. AMCOS zilizo chini ya CCU na wadau wengine pia mnakaribishwa sana.